
Melanie Akiwa Kaifuta Tattoo Aliyokua Kachora Jina la Mumewe Baada Ya kutalakiana
Ikiwa Ni Wiki mbili Baada ya Muigizaji Melanie Griffith kutangaza kutalakiana na mumewe kwa ndoa iliyodumu kwa miaka 18
Kabla na Baada
Jana Juma nne june 16 Muigizaji Huyo Alionekana kwenye tamasha la filamu la Taormina huko nchini Italy Akiwa hana pete ya ndoa kidoleni na pia akiwa Amefuta Tatoo aliyokuwa amejichora jina la mumewe Antonio Bandera’s mkononi
Tattoo hiyo Iliyodumu kwa miaka kumi alikua amejichora mkononi ni Kopa yenyejina la Antonio Katikati, Kilichoonekana sasa Muigizaji Huyo Amefuta Lile Jina la Antonio na kuacha alama ya Kopa tu
Lakini imeonekana kama ametumia Makeup katika kufunika Jina Hilo
Kazi imebaki kwa Nuh- Mziwanda Na Tattoo Ya Mpenzi Wake Shilole Babe,
Hizo ndio changamoto za mapenzi
