Kweli haya ndio mahaba niteketeze, hata uambiwe ufanye nini cha ajabu midhali ni mpeni wako haina neno.
“Bin Looking for my wig da whole morning…look wea i found it…. my crazy baby… Limempendeza though…hihihihi…..”Wema ameshare Picha Hii na maneno hayo kwenye mtandao wake Wa InstaGram Unaomuonyesha Mpenzi wake Diaomond Msanii Wa Bongo Flava akiwa Amevalia Wigi lake
Hii ni kama vipi tuvaliane tu mpenzi unapendeza pia, Hapa Akiwa kalivaa Wema Mwenyewe
Ila hapa wema katudanganya jamani ka! mbona hii nguo Diamond Ameonekana nayo wakati kapost picha jana wakiwa pale smoosh Viva tower for Icecream???
Mara tena asubuhi ya leo wakati anatafuta Wigi??inamaana Diamond Kalala na nguo hiyo hiyo na kaamka nayo au ni pozi tu la janaa hilo story imetengenezwaaaa?
Keek…