Mwanamme mmoja huko Oakland County alijikuta matatizoni mara baada ya kumfumania mke wake akiwa na Baba yake mzazi uchi wa mnyama kitandani, kijana huyo wa uri wa miaka 25 alirudi nyumbani ghafla na kumkuta mkewe akiwa mtupu kitandani ba baba yake mzazi .
Kijana huyo aliamua kumuamsha mkwe wake na wakaanza kugombana mpaka nje , ndipo baba huyo mtu mzima Henry Allen Michael alipomjeruhi kwa kisu mkwewe huyo maeneo ya mgongoni na kutoroka na gari ya kijana huyo
Kijana huyo alikimbizwa Hospitali ambapo alionekana kujeruhiwa vibaya mapafu yake ya kulia
Mke wakijana huyo anasema alikuwa hafahamu chochote kilichotokea mpaka mume wake alipomuamsha kwani yeye na baba ake walikwenda knywa pamoja siku hiyo na wakati wanarudi nyumbani alikuwa amezimia
Alipoulizwa alisema ni lazima anaamini aliingiliwa kimapenzi kwa mujibu wa taarifa za Hospital
Baba huyo alikuwa anaishi katika nyumba anayoishi mwanae na mume wake mara baaada ya kuwa aliachiwa kutoka gerezani
He has since been arrested and is being held at the Oakland County Jail.
The investigation into this incident is still ongoing.