
Mwanafunzi Wa kidato cha Tano wa shule ya sekondari Makongo Mudhihiri Ndonya leo akabidhiwa Gari yake aina ya Toyota Vitz aliloshinda katika promosheni ya Shinda Gari siku ya Valentine ilioendeshwa na kituo cha ChannelTen na MagicFm.
Mudhihiri akiwa na Mjomba wake ambae ndiye mlezi wake
Nikiwa na Mudhihiri aliongozana na Rafiki yake
Mudhihiri akiwa ndani ya Gari lake
Mudhihiri,Rafki yake pamoja na Dereva wao walioongozana nae wakikagua gari kabla ya kuondoka
Suka tayari kwa safari
Familia ya mshindi ikiwa ndani ya Gari tayari kwa kuondoka
Byeeeeeeeee, Kila la kherii kijana Mudhihiri na Usafiri wako.
Mish Bomba na Upendo msuya walikua washehereshaji Rasmi katika tukio hili.
