Mwanamitindo ambae aamekuwa maarufu sana kwa kuondoa mbavu ili afanane na Jessica Rabbit anahitaji nguo ambayo inabana kwenye mbavu na kiuno (corset) ili aendelee kuishi. Baasda ya kutumia zaidi ya dola 150,000 kwa ajili ya upasuaji, madaktari wanamuonya mwanamke huyo kwamba atahitaji kuvaa corset muda wote ili kufanya viungo vya mwili wake kuwa sehemu zinazotakiwa.
Pixee Fox (25) alipunguza mbavu sita ili kupunguza upana wa kiuno chake, mwanamitindo huyo amewatembelea madakatari mapema lakini alipofanyiwa na mahojiano kwenye TV, alikuwa akimuuliza kuhusu upasuaji wake huo akiongeza corset ilikuwa ni muhimu lakini kuvaa corset kila wakati inao usumbufu wake.
“Imeshauriwa kuwa na kitu ambacho kinabana mwili ili kila kitu kiwe katika sehemu yake baada ya upasuaji na pia kumpa ulinzi, kama anaivaa masaa 24 katika siku, hivyo maini,figo na kila kitu haziwezi kuwa katika sehemu zake za kawaida”