Mwanamitindo Kutoka Tanzania anayefanya shunguli zake za mitindo nchini Marekani,Na aliyewahi kuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2001 Millen Happiness Magesa ameteuliwa Kuwania katika Tuzo za kituo cha televisheni cha watu weusi nchini marekani BET katika kipengele cha Global Good Award kutokana na mchango wake wa kutoa elimu na kusaidia wanawake wa africa juu ya ugojwa wa maumivu ya tumbo la Hedhi (Endometriosi)
Hiki ni kipengele kipya kabisa na kwa mara ya kwanza Mwanamitindo kutoka nchini Tanzania Millen Magesse Amechaguliwa kushiriki kipengele hicho
NEW CATEGORY BET GLOBAL GOOD AWARD
Millen Magese (Tanzania)
BEST FEMALE R&B/POP ARTIST
Beyoncé
Ciara
Janelle Monáe
Jhené Aiko
K. Michelle
Rihanna
Millen Happiness Magessa zaidi ya kutambuliwa na kituo kikubwa cha Television Cha BET pia anatambulika kama Nembo Ya Tanzania akiwa na watanzania wengine kama Diamond, Pro.Shivji,Marehemu Kanumba, Dr Asha Rose Migiro
Zaidi Ya Vitu Alivyovifanya Millen kwa Watanzania Pia ni pamoja kujenga shule na kununua madawati iliyopo Mtwara “Mji Mwema” ikiwa ni ahadi yake aliyoiweka alipotembelea huko mwaka 2001 alipokuwa na taji la miss Tanzania
Pongezi nyingi kwa jitihada unazozifanya kwasababu ya watu wako Mummy Millen Happiness Magesa
Hii Ni List Nzima Ya Wanaowania Tuzo za BET Mwaka 2015
BEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA
Aka (South Africa)
Fally Ipupa (Dr Congo)
Sarkodie (Ghana)
Sauti Sol (Kenya)
Stonebwoy (Ghana)
The Soil (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Yemi Alade (Nigeria)
NEW CATEGORY BET GLOBAL GOOD AWARD
Millen Magese (Tanzania)
BEST FEMALE R&B/POP ARTIST
Beyoncé
Ciara
Janelle Monáe
Jhené Aiko
K. Michelle
Rihanna
BEST MALE R&B/POP ARTIST
August Alsina
Chris Brown
John Legend
The Weeknd
Trey Songz
Usher
BEST GROUP
A$Ap Mob
Jodeci
Migos
Rae Sremmurd
Rich Gang
Young Money
BEST COLLABORATION
August Alsina F/ Nicki Minaj – No Love (Remix)
Big Sean F/ E-40 – Idfwu
Chris Brown F/ Lil Wayne & Tyga – Loyal
Chris Brown F/ Usher & Rick Ross – New Flame
Common & John Legend – Glory (From The Motion Picture “Selma”)
Mark Ronson F/ Bruno Mars – Uptown Funk
BEST MALE HIP HOP ARTIST
Big Sean
Common
Drake
J. Cole
Kendrick Lamar
Wale
BEST FEMALE HIP HOP ARTIST
Azealia Banks
Dej Loaf
Iggy Azalea
Nicki Minaj
Tink
Trina
VIDEO OF THE YEAR
Beyoncé – 7/11
Big Sean F/ E-40 – Idfwu
Chris Brown F/ Lil Wayne & Tyga – Loyal
Chris Brown F/ Usher & Rick Ross – New Flame
Common & John Legend – Glory (From The Motion Picture “Selma”)
Nicki Minaj – Anaconda
VIDEO DIRECTOR OF THE YEAR
Benny Boom
Beyoncé, Ed Burke & Todd Tourso
Chris Robinson
Fatima Robinson
Hype Williams
BEST NEW ARTIST
Bobby Shmurda
Dej Loaf
Fetty Wap
Rae Sremmurd
Sam Smith
Tinashe
BEST GOSPEL ARTIST
Deitrick Haddon
Erica Campbell
Fred Hammond
Lecrae
Mali Music
Michelle Williams
BEST ACTRESS
Gabrielle Union
Kerry Washington
Taraji P. Henson
Tracee Ellis Ross
Viola Davis
BEST ACTOR
Anthony Anderson
Idris Elba
Jussie Smollett
Kevin Hart
Terrence Howard
YOUNGSTARS AWARD
Jacob Latimore
Jaden Smith
Mo’ne Davis
Quvenzhané Wallis
Zendaya
BEST MOVIE
Annie
Beyond The Lights
Selma
Think Like A Man Too
Top Five
SPORTSWOMAN OF THE YEAR
Brittney Griner
Candace Parker
Serena Williams
Skylar Diggins
Venus Williams
SPORTSMAN OF THE YEAR
Chris Paul
Floyd Mayweather, Jr.
Lebron James
Marshawn Lynch
Stephen Curry
VIEWERS’ CHOICE AWARD
Beyoncé – 7/11
Dej Loaf – Try Me
Kendrick Lamar – I
Nicki Minaj F/ Drake, Lil Wayne & Chris Brown – Only
Rae Sremmurd F/ Nicki Minaj & Young Thug – Throw Sum Mo
The Weeknd – Earned It (From The “Fifty Shades Of Grey” Soundtrack)
CENTRIC AWARD
Avery Sunshine – Call My Name
Jazmine Sullivan F/ Meek Mill – Dumb
Mark Ronson F/ Bruno Mars – Uptown Funk
Sam Smith F/ Mary J. Blige – Stay With Me
The Weeknd – Earned It (From The “Fifty Shades Of Grey” Soundtrack)
BEST INTERNATIONAL ACT: UK
FKA Twigs
Fuse Odg
Lethal Bizzle
Little Simz
Mnek
Stormzy