Aliyewahi kuwa Mwanamitindo Mkameruni Irene Major ambaye kwa sasa ni mke wa mfanya biashara wa mafuta mkanada na tajiri mkubwa Sam Malin amejivunia Kujichubua kwa ngozi yake a Ameshare picha hiyo ya kabla hajajichubua ngozi yake na baada kwenye jarida UK Daily Mail na kuliambia jarida hilo sababu za kujichubua kwakwe
“Ngozi yangu ikiwa nyeupe najiona mzuri, ni kama tabia au tamaduni na watu huhukumiwa kwa jambo kma hili, lakini mimi ndivyo ninajisikia”
Aliendelea……
“A skin-lightening regime has been part of my life practically since birth. There are many different types of African skin — from dark charcoal to a lighter version — and you grow up knowing that the lighter ladies are the prettier ones. It’s just a fact.’