Mamlaka jijini Texas wanamatumaini ya kuwasaka ndugu wa watoto wawili wa kiume umri wa miezi 9 na miaka 2 waliotelekezwa na mama yao mzazikatika kituo cha zima moto baada ya baba yao mzazi kuwakataa
Mwanamke huyo alionekana akigombana na baba wa watoto hao karibu ya kituo hicho cha zima moto siku ya jumatatu baada ya baba huyo kusema hawataki tena watoto hao, Habari kwa mujibu wa kituo hicho cha zima moto cha jijini Texas Marekani.
Mwanamke huyo alikwenda katika kituo hicho cha zima moto na kuweleza zimamoto hao kuwa hataweza kuwalea watoto hao yeye peke yake, Zima moto hao walimruhusu kuondoka lakini aache watoto kutokana na mujibu wa jiji alilopo, Na aliwaacha watoto wake.
Baada ya kituo cha olice kinachojishughulisha na usalama wa watoto walipopewa taarifa walianza kumfuatilia mwanamke huyo kwa maswali zaidi , hata hivyo jina lake halikuwekwa wazi
Texas Safe Haven Laws ambao wanajulikana pia kama Baby Moses Laws, Huruhusu wazazi kuacha watoto wao wa kuaniza umri wa siku 60 au chini ya hapo katika vituo vya zima moto,hospitali au posta
Child Protective Services says the children are in a foster home, and their case worker is in court today seeking an official custody court order.
CPS says it remains in contact with the mother but the father never came forward.