
Mwanamuziki Ciara Na Mchumba Wake Future wamepata mtoto wa kiume
Habari zinasema Ciara Alijifungua Jana Jumatatu Asubuhi May 19n Huko Los Angeles , Mtoto huyo anakuwa ni uzao wa kwanza kwa msanii Ciara Ambaye ni mchumba wa Rapper Future anayetarajia kumuoa miezi michache ijayo
Kwa upande wa Future yeye ana watoto watatu tayari kutoka kwa mama watatu Tofauti
