Rapper 50 Cent Week End Iliyopita Alisusia Graduation Ya mtoto Wake Mkubwa Wa Kiume Marquise Jackson wakati anasherehekea kuhitimu masomo yake ya High School
Hiki ndicho alichokiandika Mtoto Huyo katika ukurasa wake wa Facebook
Mtoto huyo aliyeonyesha kuvunjika moyo alionekana akilia mabegani kwa mama yake jambo ambalo mtoto huyo aliamua kuuelezea umma kupitia mtandao wa kijamii wa instagram namna ambavyo baba yake huyo mtu maarufu na mwenye uwezo mkubwa alivyomfanyia ukatili huo
Pamoja na kwamba Rapper huyo Hakutokea katika Graduation Hiyo pia hakuonekana ku share popote furaha hiyo ya mwanae kuhitimu high school
Marquise akiwa na mama yake kulia na Ndugu yake
Hata hivyo sio siri kwa rapper huyo na mwanae kutokuwa pamoja na maeleano mazuri kwa muda sasa