
Katika hali ya kawaida kwa mastaa wa mbele kama Julia Roberts, Sir Richard Branson na Johnny Depp, Mwanamuziki nguli wa kufoka wa nchini Marekani ameamua kumzawadia baby Mama wake Beyonce na mtoto wao Ivy blue kisiwa chenye thamani ya £2 millioni upo??????
Kisiwa hicho kitakua maalum kwa ajiki ya kuoumzika kifamilia zaidi na kuwa mbali na macho ya watu pamoja na waandishi viherehere PAPARAZI.
hicho ni kisiwa binafsi kwa ajili ya familia hiyo tu na wana usalama watakaokuwa wakiilinda famikia hiyo, Kisiwa kipo North Abaco, Bahamas.
Zawadi hii imekua maalum kwa baby Mama bey ikiwa ni katika kusherehekea miaka mitano ya ndoa yao.
Kazi kwetuu wabongooo. Wakati tunaota kuwa na vitu kama magari kajumba japo kamoja mmh wenzetu ndii hivo yena.
