
Mwili wa Marehemu Langa Kileo aliyefariki dunia wiki iliyopita umeagwa leo nyumbani kwao mikocheni Dar es Salaam kwa mujibu wa ratiba ya mazishi iliyotolewa mwili wake uliwasili nyumbani kwao asubuhi na heshima za mwisho kuanza kutolewa saa saba hadi saa nane baada ya hapo kupelekwa kwenye makaburi ya Kinondono kwa kuzikwa. |
