Pongezi sana kwa Mtangazaji wa kipinndi cha Leo Tena Cha Clouds Fm Dina Marious na Mzazi Mwenzie Reuben Ndege aka Ncha Kali Kwa kupata Mtoto wa kiume,
Wapenzi hao wa Muda Mrefu wamefanikiwa kupata mtoto wa Kiume waliompatia Jina la ZION
Dina Ameshare Picha Ya Mtoto wake Baby Zion kupitia ukurasa wake wa Instagram huku nae baba wa mtoto huyo Ncha Kali kupitia Tweeter akielezea Hisia Zake Za Namna Alivyofurahishwa na ujio huo wa mgeni wao duniani huku akiahidi kuwapa maisha mazuri mama na mwana kama kazi ya muhimu iliyopo mbele yake kwa sasa