Baada ya kuweka sawa mambo na Producer wake man water msanii twenty percent ameamua kuachia video yake mpya ‘mali za urithi’ Ikiwa ni kama kuwa beep tu mashabiki wake kwa sasa yupo tayari kikazi zaidi.
tegemea ngoma kali zaidi baada ya hii ikiwa ni muunganiko wake na mtu wanayefahamiana zaidi katika kazi Producer Man Water