
First lady yeye amesema ngoma anayoipenda ni “Up Town Funk” wakati Obama alichagua ngoma ya Kendrick Lamar ya “How Much A Dolla Cost” kutoka albamu ya To Pimp a Butterfly” ikiwa ni ngoma yake anayoipenda kwa mwaka 2015, alifunguka hayo wakati akipiga stori People.
Na kitabu na filamu anayopenda ni Fate and Furies ya Lauren Groff na The Martian ya Matt Damon, anazopenda mke wake Michelle ni Elizabeth Alexander’S memoir, The Ligh4 of the World na animated film ya Inside Out.
Rais Obama amepewa support sana Kanye West,Jay Z,Beyonce na wengine kipindi chake akiwa Ikulu.
