First lady yeye amesema ngoma anayoipenda ni “Up Town Funk” wakati Obama alichagua ngoma ya Kendrick Lamar ya “How Much A Dolla Cost” kutoka albamu ya To Pimp a Butterfly” ikiwa ni ngoma yake anayoipenda kwa mwaka 2015, alifunguka hayo wakati akipiga stori People.
Na kitabu na filamu anayopenda ni Fate and Furies ya Lauren Groff na The Martian ya Matt Damon, anazopenda mke wake Michelle ni Elizabeth Alexander’S memoir, The Ligh4 of the World na animated film ya Inside Out.
Rais Obama amepewa support sana Kanye West,Jay Z,Beyonce na wengine kipindi chake akiwa Ikulu.
Ngoma Kali Ya Rais Obama Ya 2015 Ni Ya Kendrick Lamar
Previous Story
Nicki Minaj Na Meek Mill Watangaza Engagement Kiaina!
Next Story
Muigizaji Wa Vichekesho,Anna Kansiime Alazwa
Related Posts
-
-
P.Diddy Atakiwa Kujibu Tuhuma Za Kuhusika Na Kifo Cha Tupac
-
Immortal Technique Aeleza Tofauti Kati Ya Nicki Minaj Na Iggy Azalea
-
Rasimu ya Katiba Mpya, Wapinzani Wasisitiza Muswada Kurejeshwa Bungeni
-
Mume Amfumania Mkewe Na Baba Yake Mzazi Watupu Kitandani
-
Lulu Aja na Style Yake ya Nywele Huku akimkumbuka Kanumba
-
Hivi Ndivyo Hali Ya Jiji La Dar Es Salaam Ilivyo Katika Kipidi Hiki Cha Mvua Za Masika