Madaktari wa bingwa wa zamani wa mbio za magari ya langa langa, Michael Schumacher, wamesema hali yake imeimarika kiasi baada ya kufanyiwa upasuaji kupunguza shinikizo katika ubongo wake. Kipimo kipya cha uchunguzi kilichochukuliwa usiku kucha kimeonyesha dalili kwamba hali yake ni “nzuri zaidi kuliko ilivyokuwa jana”, lakini bado hajawa salama,... Read More →
Tanzania Ikiwa ni mojawapo ya Nchi zote Duniani zilizosherehekea kuukaribisha Mwaka 2014 jana huku baadhi ya nchi zikiwa zimetutangulia kwa kiasi, Hivi Ndivyo shamra shamra zilivyofanyika kuukaribisha mwaka 2014 katika nchi mbali mbali duniani japo kwa Tanzania marufuku ya Mafataki na mafash fash ilipigwa na jeshi la polisi kuepuka watu... Read More →
Imekuwa ni kama tamaduni katika nchi zinazokumbwa na baridi kali ikiwemo Marekani , Baridi inayo fikia kuteremsha Barafu (WINTER) wakazi wake kufanya michezo Ya kuteleza katika barafu kwa kutumia vifaa maalum Ambapo hapo ndipo Mwanamitindo Na mpenzi wa mwanamuziki maarufu wa kofoka foka Kim Kardashian Naye Alikuwa Ni mmoja wapo... Read More →
Rais Kikwete awaapisha IGP Afande Ernest Mangu pamoja na naibu wake IGP Afande Abdulrahman Kaniki katika viwanja vya ikulu Jana sherehe hiyo ambayo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu Wa Rais Dr. Mohamed Ghalibu Bilal, Mawaziri na katibu kiongozi Balozi Ombeni Sefue pia IGP aliyemaliza muda wake afande... Read More →
Aliyekwa waziri wa Fedha na uchumi William Mgimwa amefariki dunia huko Afrika kusini alikokuwa akitibiwa,taarifa zilizotufikia zinasema Mgimwa amefariki leo majira ya saa tano asubuhi katika hospitali ya Mediclinik Cloff mjini Pretoria. katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue Amesema taratibu za kurudisha mwili wa marehemu zinafanywa na ubalozi wa Tanzania... Read More →
Shughuli za biashara ya maduka na huduma mbalimbali za kijamii katika jiji la mwanza zimesimama kwa siku nzima kufwatia mgomo wa wafanyabiashara wakubwa na wakati zaidi ya 2000,wanaopinga matumizi ya mashine za kodi za Kieletroniki-EFD.. Baadhi ya wafanyabiashara hao wakiwa na mabongo zenye ujumbe tofauti. mgomo huo ambao umeathiri maelfu... Read More →
Mtu mmoja mkazi wa Kawe Mzimuni jijini Dar es Salaam ameuawa katika chumba kimoja walichokuwa wakiishi wasichana wawili huku uchunguzi waawali ukubaini kuwa mtu huyo alichomwa na kitu chenye ncha kali na kusababisha kuvuja damu nyingi na kupoteza maisha. kutokana na tukio hilo, umati mkubwa wa watu kutoka... Read More →
Watu 15 wameuwawa na wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa katika mlipuko wa bomu linalosadikiwa kuwa la kujitoa mhanga nchini Urusi.., mlipoku huo umetokea ikiwa ni siku moja tu kupita tangu watu 17 kufa katika tukio lingine la kujitoa mhanga katika kituo cha treni kwenye mji huo. Ulinzi mkali umeimarishwa kwenye... Read More →
Rais Jakaya Kikwete akikabidhiwa rasimu ya pili ya katiba mpya na mwenyekiti wa tume ya katiba Jaji Warioba. Rasimu hii ina ibara 271 ambayo ni ndefu kuliko ili ya mara ya kwanza ambayo alikuwa na ibara 250. Comments
Licha ya kuvaa suruali kubwa kuliko pamoja na kuwahi kuvunja choo cha kukalia baada ya kukaa juu ya choo hicho mwana mama Sarah Massey mwenye umri wa miaka 33 mkazi wa Chikago Marekani anajivunia kuwa na mwili huo. Sarah ni mama wa watoto wawili ana upana wa futi 7 ambao... Read More →