Yule Mkalimani wa lugha za ishara Thamsanqa Jantjie aliye ushangaza ulimwengu wakati wa ibada ya Aliyekuwa Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini Nelson Mandela amelazwa katika Hospital Ya wagojwa wa akili Mke wake Siziwe ameseama huenda mumewe ana matatizo Ya Akili Hayo yanatokea baada ya kushutumiwa na wataalam walugha za alama... Read More →
Msanii wa Filamu Nchini Kajala Masanja ameamua kufunguka na kutoa ya moyoni baada ya kuchoshwa na uzushi ulioenea sana juu ya mahusiano yake na mume wa mtu.. Kama Binaadamu Kajala amekiri kuumia na kuchoshwa na uzushi huo ambao kwa mujibu wake si kweli Kumekuwa na Uzushi wa siku nyingi kuwa... Read More →
Na Anna Nkinda – Maelezo, Dubai Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya Uongozi wenye Hamasa kwa mwaka 2013 (Global Inspirational Leadership Award 2013) kutokana na kazi anazozifanya za kuwasaidia wanawake na watoto wa kike nchini ambazo zimewahamasisha watu mbalimbali Duniani kuweza kuzisaidia jamii zenye mahitaji. Hafla... Read More →
Ni Baada Ya kuzuka kwa mjadala kuhusu kutozwa kodi kwa line za sim nchini, Ndipo Rais alipotoa Kauli kuwa wahusika walishughulikie, hatimae Raisi Amesain Hati Ya Dharura yakufanya marekebisho Kwenye mswada wa fedha ili kuondoa kodi hizo Naibu Waziri mwenye dhamana ya mawasiliano,sayansi na teknolojia “January Makamba” ametoa habari mpya... Read More →
Msanii wa muziki wa kufoka foka Kutoka Tanzania Ney Wa Mitego anayetamba kwa sasa na Wimbo wake wa Muziki Gani, Huku Akiwa Ametoa Wimbo Mpya Kwa sasa unaoitwa NAKULA UJANA, Amesema leo alipotembelea office Za Magic Fm wakati wa Mahojiano na Katika Kipindi Cha Busati Kinachoongozwa na Mishi B, Allen... Read More →
Mbunge wa viti maalum leo amemchachafya Mrembo wa Tanzania kwa mwaka 2011 Brigitte Alfred baada ya kuibua hoja kuwa mrembo huyo hana sifa ya kuiwakilisha Tanzania Kutokana na kwamba hajui kiswahili, Mimi Binafsi Niliwahi kufanya maojiano na mrembo huyo kabla hajawa mshindi akiwa mrembo wa kinondoni na ninachokumbuka maelezo yake... Read More →
Nchi ya Afrika kusini itazindua jumatatu hii sanamu mpya ya rais wa kwanza mweusi wa taifa hilo aliye zikwa jana mzee Nelson Madiba Mandela mjini Pretoria, kwenye eneo la Union Bulding, jengo ambalo lilitumika kumuapisha Mandela Mwaka 1994 kuwa rais wa Afrika kusini. Uzinduzi huu unafanyika siku moja baada ya... Read More →
TAZAMA VIDEO HII HAPA UJIONEE YALIOJIRI BAADA YA HIYO BLACK OUT
Kiukweli hili tukio mimi lilinipita sijui nilikuwa wapi au ni wamarekani waliamua kuficha siri hii mpaka mambo yalipokaa sawa kutokana na sababu za kiusalama, Jana wakati nimekaa sina hili wala lile nikasema kutokana na kwamba Tata wetu Madiba Ameshazikwa na ni tukio la muda mrefu wacha niji refresh kwa kutazama... Read More →
Hatimae Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini Hayati Nelson Mandela akazikwa katika kijiji cha Qunu mkoa wa Cape Mashariki nchini Afrika Kusini. Mjane wa Mandela Graca Machel pamoja na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma walikuwepo katika hafla ya mazishi iliyohudhuriwa na jamaa wa karibu wa familia ya Mandela... Read More →
Picha Hizi Zimetumwa kupitia mitando ya kijamii zikionyesha na kusema ajali iliyotokea leo asubuhi ikihusisha mtu mmoja maeneo ya kawe darajani picha hizi hazikueleza kama kuna kifo au majeruhi japo picha zenyewe zinajieleza kwa jinsi Gari ilivyoharibika na mtu mmoja kuonekana akielea ndani ya daraja hilo Taarifa zaidi zitakujia kuhusu... Read More →