Dunia Yapigwa Changa La Macho Na Mtafsiri Wa Lugha Za Ishara Kutoka Afrika Kusini Kwenye Misa Ya Mzee Mandela
Leo Waafrika Wamedhihirisha kutokuwa makini kabisa hata kwenye mambo muhimu kabisa baada ya mwanamume anayetajwa kwa lugha ya Thamsanqa Dyantyi mtafsiri wa lugha za ishara kutoka nchini Afrika Ya kusini kutafsiri ndivyo sivyo ishara na maneno yaliokuwa yanazungumzwa na viongozi mbali mbali duniani wakati wa misa ya mzee mandela Serekali ya... Read More →
