Kituo cha Televisheni cha Channel ten cha jijini Dar es Salaam, kimeanza rasmi kurusha matangazo yake kupitia masafa ya DSTV, ambayo inamilikiwa na Kampuni ya Multichoice ya Afrika Kusini.
BAADHI YA WAFANYAKAZI WA CHANNEL TEN WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAWAKILISHI KUTOKA DSTV
SAIDI KILUMANGA KUSHOTO, DATIVUS MANGO AMBAYE NI RADIO MANAGER MAGIC FM NA MMRISHO ABDALLAH WA GLOBAL PUBLISHER
Uzinduzi wa ushirikiano huo umefanyika jana usiku katika kiota cha burudani cha Nyumbani Lounge jijini dar es salaam ambapo hivi sasa vipindi vyote vya Channel ten vinaonekana kupitia DSTV katika masafa namba 292.
AFISA UHUSIANO WA MULTICHOICE TANZANIA BARBAR KAMBOGI PAMOJA NA MKUU WA VIPINDI WA CHANNEL TEN NICK NGONYANI NA MKUU WA UFUNDI CHANNEL TEN AGUSTINO MGANGA
Akizungumza kwa niaba ya Kampuni ya Afrika Media Group Ltd inayomiliki Channel Ten, Meneja wa Vipindi Bw. NICK NGONYANI alisema ushirikiano huo unalenga kuboresha utoaji huduma za matangazo hasa katika kipindi hiki ambacho Tanzania imehama kutoka mfumo wa analogia kwenda mfumo wa digitali.
OREST KAWAU NA NICK NGONYANI
NICK, FAUDHIA YUSUPH NA OREST KAWAU
MENEJA HUDUMA MAENDELEO YA WAFANYAKAZI WA CHANNEL TEN PAMOJA SAKINA KATIKA PICHA NA MKUU WA MASOKO WA CHANNEL TEN REST NGONYANI NA FURAHA SAMALU YEYE NI MKUU WA MASOKO WA MULT CHOICE TANZANIA
Aidha Meneja uhusiano wa Multichoice Tanzania Barbara ( Babra) Kambogi alisema kuingia kwa Channel ten katika DSTV kumepanua idadi ya Channel za Tanzania ambazo sasa zinaonekana kimataifa.
FAUDHIA NA VICK
STUDIO MANAGER CHANNEL TEN HAMID ABDURAHMAN
MISH, GADNER NA DJ TASS
SAID KILUMANGA NA DIZZO ONE
DENNIS SSEBO NA MISH B
FROM LEFT, RESTN NGONYANI,FURAHA SAMALU,SALMA MSANGI,BARBAR KAMBOGI