Bobby Shmurda Anaweza Akatoka Jela Leo
Baada ya kufungwa karibia mwaka sasa na dhamana yake kukataliwa mara 5, Bobby Shmurda annaweza kutoka jela leo Desemba 3,taarifa za TMZ zimeeleza, familia ya rapper huyo kutoka Brooklyn wamekuwa wakifanya kazi pamoja na mtu anayeshughulika na dhamana Ira Judelson na amekuja na dhamana ambapo atatakiwwa kulipa dola milioni 2... Read More →