Mastaa Ulaya na Marekani Wagombea Kupiga Picha Na Usain Bolt
Kazia hapo hapo ulipo kazia kazana watakuewela tu juhudi jitihada na kushikilia jambo lako kwa umakini utafika na ulimwengu utakutambua tu…. Usilazimishe mambo fanya jambo litakalokutambulisha acha watu wakukubali usitumie nguvu maana mtafuta heshima kwanguvu siku zote hulipwa dharau kwa bei nafuu Mwana Riadha Usain Bolt amekuwa dill kubwa... Read More →
