Mwanamuziki Ray C Asherehekea Mwaka Mmoja Tangu Aachane na Matumizi Ya Madawa Ya Kulevya
Mwanamuziki Ray C aliyewahi kuathirika na matumizi mabaya ya madawa ya kulevya amesherehekea Mwaka Mmoja tarehe 8/11 Tangu Afanikiwe kuacha kutumia madawa hayo kwa msaada wa hospital ya mwananyamala kitengo cha kuhudumia waadhirika wa matumizi wa madawa hayo kwa kupata dozz maalum inayosaidia kuweza kuachana na matumizi ya madawa hayo.... Read More →
