Omba Bahati Uzuri Majaaliwa, Kim Kardashian Pete Nyingine Kidoleni Ni Baada Ya Kuachika.
Mrembo anayesumbua sana Duniani Hivi sasa na mwenye Drama za kutosha Baby mama wa mwanamuziki Kanye West Na mama mtoto wa North West KIM KARDASHIAN amevishwa tena pete ya uchumba na baba mtoto wake huyo. Kama ataolewa hii itakuwa ni Mara ya pili kwa mrembo huyo kupigwa ndoa, mara ya... Read More →
