Picha: Mazishi Ya Baba Yake Msanii Twenty Percent huko Kimazichana
Mazishi ya Baba Wa Mwanamuziki Twenty Percent Aliyefariki Jana Nyumbani kwake kimazichana Yakiwa yanafanyika Leo huko huko kimazichana . Marehemu Mzee Khamis Kinzasa Amezikwa Leo saa Saba Huku yakiwa yamehudhuriwa na Nfugu jamaaa na Marafiki Bonyeza kichwa cha Habari Kuona Picha Zaidi Comments
