Msanii Twenty Percent (20%) na Producer Man Water Wamaliza Tofauti Zao
Hatimaye bifu kali kati ya msanii aliyewahi kutwaa tuzo 5 nchini za KTMA na kuvunja rekodi TWENTY PERCENT na aliyewahi kuwa Producer wake na pia ni mshindi wa tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki nchini KTMA 2012 MAN WATER limemalizika rasimi leo kwa wawili hao kukutana nakumaliza tofauti zao. Man... Read More →
