Mdada Huyu wa Kinaijeria akamatwa na Madawa ya Kilevya Uwanja wa Ndege wa Mw.Nyerere Dar Es Salaam
Kumbe Inawezekana, hatimaye Jitihada za kurejesha heshima kwa viwanja vya ndege nchini zilizoanzishwa na waziri wa uchukuzu Dk. Harisson Mwakyembe zinaonekana kuzaa matunda baada ya mwanadada kutoka nchini Nigeria Anthonia Ojo (25) kukamatwa na kete 99 za madawa ya kulevya dar es salaam jana Mwanamke huyo amekamatwa akieleke Roma Italia... Read More →
