Serekali yawatimua wafanyakazi wa Uwanja wa ndege waliopitisha Mabegi ya Kina Agness Masogange Yaliokuwa na madawa ya kulevya
Waziri wa uchukuzi Mh,Dr.Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari leo ofisini kwakwe Jijini Dar Ea Salaam juu ya hatua zilizochukuliwa na wizara ya Uchukuzi kuhusu sakata la madawa ya kulenya yaliokamatwa huko Afrika Ya Kusini hivi karibuni Serekali imetangaza kuwafukuza kazi wafanya kazi watano wa mamlaka ya viwanja vya... Read More →
