BOLT,Sierra Leone ANNABEL,Kenya POKELLO,Zimbabwe NATASHA,Malawi DILLISH,Namibia HAKEEM,Zimbabwe MARIA,Namibia Kama ilivyoada siku baada ya mtoano ifuatayo inakuwa ni siku ya nomination.Na leo kaka mkubwa amewataja Bolt Sierra Leone,Natasha kutoka Malawi,na Sulu kutoka Zambia wote hao kutoka katika mjumba ya Ruby,ambapo hapo kaka mkubwa alimtaka... Read More →
Motamma-Botswanna Betty-Ethiophia Jana haikuwa siku nzuri kwa nchi ya Botswana na Ethiopia baada ya kuwapoteza washiriki wake toka katika nyumba ya big brother, hata hivyo ilikua siku baya zaidi kwa mshiriki Bolt kutoka sierra leone Baada ya kuachwa mpweke na mpenzi wake betty ndani ya jumba hilo ... Read More →
Jiji letu la Dar es Salaam limepata heshima ya kimataifa, katika nchi ya Ujerumani kwenye Jiji la Hamburg, Kuna sehemu imepewa jina la Dar Es Salaam Platz ( Dar es Salaam square ). Kutoka kulia : Brighton Monyo ( Zimamoto DSM ), Bw. Wilson M. Kabwe ( Mkurugenzi wa... Read More →
It’s official, Botswana ni mashemeji/mawifi zetu. Asubuhi ya leo, Feza na mBotswana Oneal wameamua kufanya kweli kwa kukiss huku wakipeana joto kwenye kitanda walichokuwa wamelala pamoja. Wakiwa wamelala pamoja kama mke na mume, washiriki hao waliopo Ruby House walisikika wakiteta yaliyojiri jana usiku kwenye Eviction. “Poor Betty and Motamma,”... Read More →
Hatimaye Kanye West atangaza ndoa kwa Kim Kardashian, siku chache baada ya kujifungua mtoto wao wa kike ‘North West’ Ikiwa ni siku chache toka couple ya Kanye West na Kim Kardashian kupata mtoto wao wa kwanza wa kike ‘North West’ (June 15), hatimaye couple hiyo imeonesha nia ya kwenda ‘next... Read More →
Msichana huyu Ambaye jina lake halikufahamika mara moja, Ni msichana ambaye Video ya jinsi anavyoweza kuumiliki mpira imesambaa katika mitandao mbalimbali huko ulaya baada ya kuanzia kuonekana kupitia mtandao wa Youtube. Huyu dada mimi binafsi nimeshamuona mara kadhaa akipita katika mabaaa au sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi na... Read More →
Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Nchini (Tacaids) imesema tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa vitendo vya ngono kinyume na maumbile vinazidi kuongezeka. Hayo yalisemwa jana na Dk. William Kafura, katika mkutano wa sita wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Ukimwi (Tapac). Alisema hiyo inatokana na imani za kishirikina kwamba wakifanya vitendo... Read More →
Mzee Nelson Mandela ameendelea kuwa katika hali mbaya hospitalini baada ya kubainika kwamba gari la wagonjwa lililombeba Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini kwenda hospitali limeharibika. Gari hilo la wagonjwa mahututi liliharibika wiki mbili zilizopita wakati Mandela alipokuwa akikimbizwa kwenye hospitali moja mjini Pretoria, na kumwacha ‘njiapanda’ kwa dakika... Read More →
Juzi DODOMA katika show ya Kilimanjaro Ommy Dimpoz na madansa wake wamejikuta wakiambulia kupigwa mawe na chupa jukwaani, hali iliyowafanya walikimbie jukwaa… Pamoja na kupigwa mawe na makopo, jamaa walijikaza kisabuni mpaka baunsa akaamua kuwatoa jukwaani ili kunusuru roho zao….. Kisa cha kupigwa mawe nkinatokana na tusi la Ommy Dimpoz ... Read More →
The Miami Heat have done it again.Yes ni game 7 Chini ya King Lebron James, Miami Heat imeondoka na Points 95 Kwa 88 za San Antonio Spurs. Lebron ametoka na Point 37. Wade nae ametoka na point 23, rebounds 10 , Shane Battier ana points 18. Mpaka sasa Lebron ni... Read More →