Tazama katika picha jinsi Show Ya Lady Jay Dee Ilivyofana….Karibu katika zulia langu
Mh:Sugu, Mkolon pamoja na Proff.J Hatimae hayawi hayawi yakawaaaaa, Ile show ya mwana dada mwenye majina mengi sana yenye maana kutokana na mambo kadha aliyoyapitia katika maisha yake ya kimuziki, Judith Wambura Mbibo aka Lady Jay Dee, komando, mama some food, lakini kubwa kuliko kwa sasa ANAKONDA,,, Jana ndio... Read More →
