Binti wa Michael Jackson alazwa baada ya kujaribu kujiua.
Binti wa Michael Jackson, Paris, alikimbizwa hospitali Jumatano alfajiri baada ya kilichotajwa kuwa ni kujaribu kujiua, kwa mujibu wa website ya TMZ. Msemaji wa polisi amesema polisi waliharakisha kwenye nyumba anayoishi Paris Jackon, jijini Los Angeles kwa ajili ya “medical situation.” Msemaji wa polisi alikataa kutaja mhusika. Paris aliandika tweets... Read More →
