Mr Nice kati kati wakita akiwa nchini Kenya anatambulishwa na Grandpa kama msanii mpya chini ya lebo hio
GrandPa Records Ya Kenya Imevunja Mkataba Wake Wa kazi na Msanii Mr Nice kutoka Tanzania Baada ya miezi michache ya kufanya nae kazi.
Mr Nice alipewa mkataba na GrandPa Records huku akijua kuwa ana mkataba mwingine Tanzania na Producer Lamar.
GrandPa Wamesema Mr Nice Ni Msanii Mvivu na Asiye toa ushirikiano kwenye kazi kabisa ndio maana wameamua Kuvunja mkataba wake.
credit : Sammisago.com