Lionel Messi Apata Mtoto Wa Pili
Lionel Messi Na Mpenzi wake Antonella Roccuzzo wamepata mtoto wa0 pili wa kiume alfajiri ya kuamkia leo Mtoto huyo amepewa jina la Mateo. Messi na Antonella ni wazazi wa mtoto mwingine wa kuimeThiago. Comments