Taarifa za awali kuhusu mfanyabiashara aliyejirusha kutoka ghorofa ya tisa kariakoo
TAARIFA za awali zina arifu kuwa Mfanya Biashara, Costa Shirima anaedaiwa kujirusha kutoka gorofa ya tisa ya Hoteli ya Concord iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam inaelezwa kuwa alifariki dunia muda mfupi baada ya kujirusha na alikuwa asafiri na ndege ya saa 10 jioni kuelekea China kufuata bidhaa za maduka yake.Shirima... Read More →
