Alichokisema Msanii Bob Junior baada ya kumaliza Ziara yake ya Europe
Msanii wa kizazi Kipya Bob Junior aliyekua kwenye Ziara ya kimuziki huko bara ulaya, Amemaliza ziara yake na ametua salama nyumbani. Bob Junior ametumia ukurasa wake wa Facebook kuyasema ya moyoni baada ya ziara hiyo kumamilika. Na hichi ndicho alichoandika kupitia ukurasa wake wa Facebook “OOOH ITS OFFICIAL NIMERUDI SALAMA... Read More →
