Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::start_lvl(&$output, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::start_lvl(&$output, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::end_lvl(&$output, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::end_lvl(&$output, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::start_el(&$output, $item, $depth, $args) should be compatible with Walker_Nav_Menu::start_el(&$output, $item, $depth = 0, $args = Array, $id = 0) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::end_el(&$output, $item, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::end_el(&$output, $item, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: call_user_func_array() expects parameter 1 to be a valid callback, no array or string given in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-includes/class-wp-hook.php on line 298 Salma Msangi - I'm Me And Thats all I Can BeSalma Msangi
Mwanamuziki kutoka Kenya, JAGUAR amenunua ndege binafsi … Jaguar anaefanya vizuri kwenye muziki wake huko nchini Kenya na Africa kwa ujumla inasemekana he had purchased ndege yake hiyo binafsi siku za nyuma kipindi cha kampeni za uchaguzi nchiniKenya na ameshaitumia mara kadhaa … Jaguar ambae hivi karibuni ameachia single yake mpya inayojulikana kama KIPEPEO inasemekana amenunua ndege hiyo ambayo pia ameshaipa... Read More →
Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya Watanzania katika maadhimisho ya miaka 49 ya muungano yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na baadaye kusamehe wafungwa 4,180. Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,180 waliokuwa wakitumikia vifungo vyao katika magereza mbalimbali hapa nchini katika kuadhimisha miaka 49... Read More →
MWIMBAJI ambaye pia ni bosi wa Kundi la Mashauzi Classic, Aisha Ramadhan Makongo ‘Mashauzi’, Jumatano iliyopita alikumbwa na masaibu mazito kufuatia kudakwa na polisi wa Kituo cha Msimbazi, Dar akituhumiwa kukwapua mkoba wenye kitita cha shilingi laki saba, elfu hamsini na nane na mia mbili (758,200) mali ya Veronica Tarik.... Read More →
Polisi wa nchini Sweden wamedai kupata dawa za kulevya katika basi linalotumiwa na mwanamuziki Justin Bieber anapofanya ziara zake za kimuziki. Msemaji wa polisi Lars Bystrom amesema kiwango kidogo cha dawa za kulevya na silaha moja vimekutwa katika basi hilo wakati polisi walipolivamia likiwa halina mtu na kuegeshwa katika ukumbi... Read More →
Huyu ni Omar Borkan Al Gala, mwigizaji na pia mpiga picha wa huko Dubai ambaye kwa mujibu wa taarifa, yeye pamoja na wenzake wawili wamefukuzwa huko Saudi Arabia kutokana na kuwa na muonekano mzuri kupitiliza (Yaani ma-handsome kupita kiasi) ili kuepusha kuwaingiza katika tamaa wanawake ambao hushindwa kujizuia kuwashobokea. Omar... Read More →
Baada ya mabishano ya muda mrefu nyumbani kwa kada huyu na Mbunge wa Arusha mjini na uvamizi wa Polisi wakati wa usiku wa manane, Mh. Lema alikubali kukamatwa na kuchukuliwa na gari la polisi usiku na kupelekwa kituo kikuu cha polisi Arusha yaani Central Polisi. Kukamatwa kwake kulikuja baada ya... Read More →
Baada ya kufunika vibaya vibaya katika show yake ya Ujerumani msanii Bob junior aliye kwenye ziara ya kimuziki huko ulaya, Haya ndio maneno aliyoyaandika katika ukurasa wake wa BBM akiwa na furaha isiyo kifani. Bob bado yupo kwenye ziara ya miji mbalimbali huko ulaya…. wasanii waliowahi kwenda huko kufanya show... Read More →
Jarida la People limetoa orodha ya wasichana 10 warembo zaidi duniani. Na wasichana wenyewe ndio hawaa? Je Beyonce aka Mama Ivy aliyechukua kikombe cha mwanamke mwenye mvuto kuliko wote duniani yupo???? 10. Pink 9. Drew Barrymore 8. Halle Berry (7. Kelly Rowland) 6. Jennifer Lawrence 5. Jane Fonda 4. Zooey... Read More →
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete akipokea tuzo maalum kutoka UMATI iliyokabidhiwa kwake na Makamu Mwenyekiti wa UMATI Taifa Ndugu Charles Mugondo kwa kutambua mchango wake mkubwa hususan kwenye elimu ya mtoto wa kike hapa nchini. Tuzo hiyo alikabidhiwa wakati wa mkutano... Read More →