GODBLESS LEMA AHUSISHWA NA MAUAJI YA MWANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo ameamuru polisi kumkamata Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema pamoja na wanafunzi walioshiriki kurusha mawe baada ya kutokea vurugu zilizotokana na kifo cha mwanafunzi wa mwaka wa pili, Chuo cha Uhasibu Arusha, Henry Kago (22). Naibu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Faraji... Read More →
