MGOGORO wa kimuziki kati ya msanii Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ na kituo kimoja cha redio umezidi kuchukua kasi huku makundi mawili, kila moja likitengeneza ngome yake na kuamini linachoamini. Kundi ambalo linamuunga mkono Jaydee na kumuona ni mkombozi, anazungumza kwa niaba yake na wasanii wengine, la pili ni lile... Read More →
Wakati Lady Jay Dee anakaribia kuzindua Albam yake ya sita ifikapo tarehe 31 mwezi wa Tano aliyoipa jina la ‘NOTHING BUT TRUTH’ Bado ameendelea kuwachana wale ambao kwake yeye anawaona ni mafisadi wa miziki kupitia ukurasa wake wa tweeter, na mara hii ameamua kuwataja kwa majina kabisa unaweza kuona... Read More →
Huyu ndio Heather Milligan, girlfriend mpya wa Arnold Schwarznegger (65) ambaye ana umri wa miaka 38, na hii ni baada ya ndoa yake na Maria Shriver kubounce kutokana na vitendo vya kukosa uaminifu vya gavana huyu mstaafu wa jimbo la Carlifonia. Comments
Week End Hii Baraza la sanaa la Taifa Basata kupitia Kinywaji cha Kilimanjaro liliandaa Semina ya wadau wa Muziki wakiwemo Watangazaji kutoka mikoa yote, Ma Dj, na wadau mbalimbali wanaohusika na muziki Kwa karibu ili kufanya Mchakato wa kuwapata wanamuziki watakaoingia kwenye kinyang’anyiro cha Kilimanjaro Music Awards inayotarajiwa kufanyika Mwezi... Read More →
Hali imekua mbaya zaidi katika bunge letu Tukufu mpaka kufikia wabunge Halima Mdee wa Kawe na Zitto Kabwe wa Kigoma Kaskazini wote wa Chadema kuandika kupitia kurasa zao za tweeter kuwa kwa jinsi hali ilivo sasa Wanajisikia Aibu Kuitwa Wabunge. Na hiki ndicho walichokiandika: Hivi karibuni kumekua kukijitokeza Malumbano kama... Read More →
Viongozi wa serikali kama Rais Jakaya Kikwete, rais wa Zanzibar Ali sheni, makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar maalim Seif Sharif Hamad, na wasanii kama Mzee Yusuf, Diamond Platnumz, nk walikua miongoni mwa wahudhuriaji katika kumsindikiza gwiji huyo wa Taarabu katika safari yake ya mwisho. Comments
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika dua ya pamoja kumuombea Gwiji la sanaa Zanzibar Bi. Fatma Binti Baraka (Bi. Kidude) nyumbani kwake Rahaelo nyuma ya Studio ya ZBC Redio. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na... Read More →
Barua zilizokuwa zimetumwa kwa Rais Barack Obama na Seneta wa Mississippi Senator Roger Wicker zmebainika kuwa na sumu hatari aina ya ricin.Idara kuu ya upelelezi ya Marekani FBI imetoa taarifa hiyo na barua zilizotumwa kwa viongozi hao wawili zinahusiana.Barua hizo zote zilitumwa kutokea Memphis, Tennessee na mtu mmoja mwenye umri... Read More →
Baadhi ya watu wamejitokeza na kumfariji Wema Sepetu Baada ya kuamua Kufunguka Kuhusu uhalisia wa maisha yake hasa katika upande wa Drama za kimapenzi unaoendelea Baina Yake na aliyewahi kuwa Mpenzi wake Diamond na Penny ambaye ndio mpenzi mpya Wa Diamond. Na hiki ndicho alichokiandika Kupitia ukurasa wake wa Instagram... Read More →
Baada ya kuona kusitisha bunge kurushwa live kumepigwa vita, sasa wabunge wamekuja kwa staili ya matusi ili wananchi wasiwe na hamu kabisa ya kuliangalia bunge…. Jana kwa mara nyingine tena, Mh.Peter Serukamba amesikika waziwazi kabisa akitoa tusi mbele ya bunge na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake.Bila woga wala aibu... Read More →
Katika kuonesha kwamba bado ana kiu ya kuona sanaa yake inapanuka na kuvuma mbali huku akiboresha maisha yake, kukuza kipato na kuongeza ufanisi , msanii wa muziki wa kizazi kipya nchiniH. Baba ameamua kujikita katika biashara kwa style ya kipekee kwa kuingiza sokoni bidhaa aina ya pipi zenye jina, picha na... Read More →