VIDEO: NDOA YA KWANZA YA KIMILA YA MASHOGA YAFUNGWA HUKO AFRIKA KUSINI
KATIKA hali isiyo ya kawaida kwa mila zetu waafrica,vijana wawiliTshepo Cameron Modisane na Thoba Calvin Sithole wamefunga Ndoa ya jinsia moja almaarufu kama “GAY MARRIAGE” huko mjini KwaDukuza ulioko KwaZulu-Natal, South Africa na kuwa tukio la kwanza barani Africa kuwahi kutokea. Habari zaidi zinadai wanandoa hao awali walikuwa na mahusiano ambayo kila mmoja katika mji huo... Read More →





















