Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::start_lvl(&$output, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::start_lvl(&$output, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::end_lvl(&$output, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::end_lvl(&$output, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::start_el(&$output, $item, $depth, $args) should be compatible with Walker_Nav_Menu::start_el(&$output, $item, $depth = 0, $args = Array, $id = 0) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::end_el(&$output, $item, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::end_el(&$output, $item, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: call_user_func_array() expects parameter 1 to be a valid callback, no array or string given in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-includes/class-wp-hook.php on line 298 Salma Msangi - I'm Me And Thats all I Can BeSalma Msangi
Kupitia tuzo za waandishi wa habari zilizofanyika ijumaa usiku pale diamond jubelee hall, Mwanahabari Mkongwe Hamza Kassongo alipata Tuzo ya Mwandishi Wa Habari Mkongwe aliepata Mafanikio Bwana Kassongo akiwa na moja ya Majaji wa Tuzo hizo. Mzee Hamza Kasongo mwenye umri wa miaka 74, ni mtangazaji mkongwe wa radio na... Read More →
Lulu akiwa na mama yake Lulu na mama yake marehemu Steven Kanumba Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu,... Read More →
Leo ni mwaka mmoja tangu Msanii wa filamu nchini Steven Kanumba atutoke. Marehemu Steven kanunba ataendelea kukumbukwa kutokana na mchango wake mkubwa kukuza sanaa ya filam hapa nchini, pia kutokana na umahiri wake aliokua nao katika swala zima la Uigizaji. Marehemu Kanumba aliwainua wengi sana ambao nao kwa sasa wanamafanikio... Read More →
Wanasayansi nchini Japan jana wamesema wamepata njia ya kusoma ndoto za watu kwa kutumia scanner za MRI kugundua siri za fikira zisizojitambua. Watafiti wamefanikiwa kile wanachokisema ni “kifaa cha kwanza duniani kutafsiri ndoto za usiku, jambo ambalo limewasumbua wanasayansi kwa miaka mingi. Katika utafiti uliochapishwa kwenye jarida la Science, watafiti... Read More →
wiki hii Lady jay dee ame make head lines kupitia vipindi mbalimbali katokana na kuachia ngoma yake ya joto hasira lakini pia kutokana na madongo alioyatoa kupitia ukurasa wake wa tweeter akilenga kuwachana live mafisadi wa muziki wa bongo flavour hapa nchini haya ni mahojiano mengine aliyoyafanya kupitia kipindi cha... Read More →
Habari kutoka Mumbai nchini india zinasema watu 34 wamakufa wakiwemo watoto kumi na moja huku wengine wakiwa wamenasa zaidi kwenye vifusi vya jengo hilo la Ghorofa Saba. Vikosi vya uokoaji vinaendelea kuwatafuta watu walionasa katika kifusi na inasadikiwa idadi ya watu waliokufa ikaingezeka huku ikitajwa majeruhi wengi hali yao kuwa... Read More →
Kwa mujibu wa Fox 5 News, Nyota wa muziki wa Pop Janet Jackson anakua muislam na ataacha muziki Rasmi Taarifa za kituo hicho cha Televisheni zimesema kuwa baada ya mwanamama huyo kufunga ndoa na bilionea wa kiarabu, Wissan Al Mana, ameamua kuacha jumla kazi ya muziki Janet Atahama Marekani na... Read More →
Tazama Interview Ya Lady Ja Dee au unaweza kumuita Anakonda ikiwa ndio official AKA yake mpya akifunguka juu ya Tweet zake alizotweet hivi karibuni pamoja na manbo mengine. Comments
Hivi ndivyo Baba na Mama Ivy Blue walivyoamua kuisherekea miaka mitano ya harusi yao huko Havana Cuba walipotua juzi na Private Jet…. na katika siku hii kubwa kwao, Mastaa hawa walipokelewa poa sana na wenyeji wa Cuba ambapo all the tym Jigga alionekana ‘akijienjoy’ kwa kula Cigar wakati Baby Mama... Read More →
HATIMA ya filamu ya mwigizaji, Vincent Kigosi ‘Ray’, Sister Mary iliyokuwa imezuiwa kwa kudaiwa kudhalilisha ukatoliki, imefahamika kuwa mwigizaji huyo amesalimu amri ya viongozi wa kanisa hilo, Kanisa Katoliki nchini linaloongozwa na Muadhama Polycarp Kadinali Pengo, liliizuia filamu hiyo kwa kile kilichodaiwa kuwa ilikuwa ikionesha udhalilishaji kwa namna ambavyo watawa... Read More →
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Zanzibar, Ibrahim Mzee Ibrahim, ametupilia mbali uchunguzi wa mauaji ya Padri Evarist Mushi uliofanywa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Maafisa wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) na kusema mtuhumiwa hana kesi ya kujibu mahakamani. Padri Mushi ambaye alikuwa Paroko wa Kanisa Katoliki Minara... Read More →
Mwili wa marehemu Nyaga poul Mawalla ukiwa katika kanisa la Kilutheri nchini Kenya usharika wa Uhuru Highway kwa ajili ya misa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe,Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Lazaro Nyarandu na Sir George kahama wakiwa kanisani wakishiriki misa ya maziko ya marehemu Nyaga Mawalla. Mbunge wa Jimbo... Read More →