Picha mbalimbali za kazi ya Uokoaji kufuatia kuporomoka kwa jengo la gorofa 14 Jijini Dar Es Salaam Leo asubuhi.
Kifusi cha Jengo lililoporomoka Leo asubuhi mtaa wa indragandhi kisuru Dar es salaam.Inasadikiwa watu kadhaa wamepoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi hicho huku jitihada za uokoaji zikiendelea kwa walio hai chini ya kifusi. Hilo ni moja kati ya magari yaliokuwa yamefunikwa na kifusi hicho Jeshi kutoka kikosi cha uokoaji... Read More →
