Nancy Sumari Azindua Kitabu cha Watoto “NYOTA YAKO”
Miss World Africa 2005, Nancy Sumari leo amezindua kitabu chake cha watoto kiitwacho Nyota Yako. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali maarufu wakiwemo mamiss Tanzania wa zamani, Jacqueline Ntuyabaliwe na Faraja Akizungumzia jambo lililomsukuma kuandi ka kitabu hicho, Nancy alisema: Vilinisukuma vitu vingi, kwanza... Read More →
