Kylie Jenner Baada Kufikisha Miaka 18, Hii Ndiyo Zawadi Aliyopewa
Baada ya kufikisha miaka 18 na unapewa zawadi gari aina ya Ferrari ya thamani ya dola 320,000 kutoka kwa mpenzi wako, nini kinafuata? Unakodisha ndege, Kylie Jenner ameonyesha picha ikionyesha Ferrari yake ikiwa imepark nje ya private jet akaandika “GONE” What a beautiful life… Comments