Rihanna leo amekua na kazi moja ya ku post picha mbalimbali za Bibi yake enzi za uhai wake kupitia mtandao wa InstaGram ikiwa ni ishara ya kusherehekea Sikukuu ya kuzaliwa ya bibi yake huyo lakini pia ikiwa ni ishara ya kumbukumbu. Rihanna akiwa na Bibi yake na Babu yake Bibi... Read More →
Elizabeth Michael aka Lulu akiwa katika style yake ya nywele ya pekee kabisa. Hivi ndivyo anavoonekana kwa sasa Pia kupitia mtandao wa Tweeter alionekana kumkumbuka sana Marehemu Kanumba Hivi ndivyo alivyoandika kuhusu Kanumba. Comments
Rafiki wa karibu wa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga Jumatatu hii anadaiwa kumpa talaka mke wake baada ya kumsifia Rais mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta ni ‘handsome’ mbele yake. Kwa mujibu wa mtandao mmoja wa Kenya, mwanasiasa huyo wa chama cha CORD anayetokea magharibi mwa Kenya, alikuwa akitazama taarifa... Read More →
Jana usiku katika kiota cha Maraha Nyunbani Lounge ndipo uzinduzi rasmi wa Video Ya Lady Jay Dee ft Proffesor J – Joto Hasira ilizinduliwa. Japo umeme ulileta shida kadogo wakati wa Video hiyo kuonyeshwa tulipata kuiona mwanza wake na kuenjoy Muziki mzuri wa Band ya Machozi. Tazama picha jinsi watu... Read More →
Enjii akiwa katika kipindi cha SunDowner cha magic Fm akitambulisha wimbo wake Msanii wa kizazi kipya Enjii alietamba na kibao chake cha My Boo amekuja kivingine baada ya ukimya wa mda mrefu akiwa masomoni. Enjii ameamua kubadili herufi za jina lake ili liweze kushika kwa haraka kwa mashabiki wake kwa... Read More →
Baadhi ya Warembo walioshiriki Shindano la Redd’s Miss Tanzania 2012 wakicheza muziki wa aina ya Kwaito wakati wa tafrija maalum ya uzinduzi wa Mashindano ya Miss Tanzania 2013 Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Kulia ni Redd’s Miss Tanzania 2012 (katikati) akigonganisha glass na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni... Read More →
Ile simu ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu sasa, Samsung Galaxy S4 ndiyo kwanza imetoka na kama ambavyo watu mbalimbali wamekuwa wakijaribu kuikadiria itakuwaje, sambamba na kuachia taarifa mbalimbali ambazo sio rasmi kuihusu, Kwa uhakika sasa kwa kifupi tu mzigo huu utakuwa na features mpya zifuatazo Itakuwezesha kuscroll katika screen... Read More →
Baada ya tukio la kuibiwa kwa taarifa za siri za mastaa mbalimbali hivi juzi, sasa story mtaani zimemuelemea mwanadada Kim Kardashian kutokana na siri juu ya utajiri wake kuonyesha picha ya tofauti na yeye alivyo.Kim KardashianImefahamika kuwa, licha ya umaarufu na dili zote ambazo Kim anazipiga, akaunti yake ya benki... Read More →
Ni leo Numbani Lounge Ambapo Mkongwe wa muziki wa Bongo Flavour Lady Jay Dee atazindua Video yake Rasmi ya wimbo Joto Hasira aliomshirikisha mkongwe mwenzie Professor J Hizi ni baadhi ya picha jinsi Jide atakavoonekana katika Video hiyo. Photo credit: Sammisago.com Comments
Ni taarifa ambayo kila aliekua karibu na Goldie kwenye page zake za facebook na twitter inakua ngumu kuamini, taarifa rasmi zimeripoti kwamba Goldie ambae ni mwakilishi wa Nigeria kwenye BBA 2012 AMEFARIKI muda mfupi tu baada ya kuwasili Lagos Nigeria akitokea Marekani ambapo bado chanzo cha kifo chake hakijajulikana.Mmoja... Read More →
Baada ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu kuhusiana na mpenzi wake na Diamond Platnumz, Penny Mungilwa kuwa mjamzito, hatimaye leo Diamond amethibitisha ni kweli wanategemea mtoto wao wa kwanza. Nakumbuka tetesi hizi ziliibuliwa na mtandao wa Bongo 5 baada ya kuhisi picha ya Penny akiwa Aiport na kivazi alichokua... Read More →