Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::start_lvl(&$output, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::start_lvl(&$output, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::end_lvl(&$output, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::end_lvl(&$output, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::start_el(&$output, $item, $depth, $args) should be compatible with Walker_Nav_Menu::start_el(&$output, $item, $depth = 0, $args = Array, $id = 0) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::end_el(&$output, $item, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::end_el(&$output, $item, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: call_user_func_array() expects parameter 1 to be a valid callback, no array or string given in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-includes/class-wp-hook.php on line 298 Salma Msangi - I'm Me And Thats all I Can BeSalma Msangi
Mkali wa ngoma ya “Can Do” Mtanzania anayeishi nchini Sweden anatarajia kwenda nchini Uingereza kukutana na wadau wa muziki kutoka kampuni ya Universal Music. Akiongea na muandishi wa salmamsangi.com, msanii huyo amesema kwamba kampuni ya Universal Music, wameonyesha kuvutiwa kufanya kazi naye, Msanii wao wa mwisho ambaye walifanya nae kazi... Read More →
Picha wakati wa chakula kwenye Maulid ya Baby Ara The King himself alipotimiza siku 40 toka alipozaliwa, Maulid ilifanyika siku ya Jumamosi 27/02/2016 pale Terrace Lounge iliyopo Msasani Mall. Maulid hiyo ilihudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki ambao walifurahi sana kwa sababu ilikuwa ni siku ya Furaha…Congrats Salma and Baby... Read More →
Huu ni muendelezo wa picha kutoka Msasani Mall pale Terrace Lounge kwenye Maulid ya King Ara, mtoto wa Salma Msangi, alipotimiza siku 40. Maulid ilifanyika siku ya Jumamosi 27/2/2016, na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kibao. Karibu kutazama picha wakati wa kutoa zawadi. Comments
Picha za tukio la Maulid ya mtoto wa Salma Msangi baby Ara alipotimiza siku 40 toka azaliwe, Maulid ilifanyika siku ya Jumamosi 27/02/2016 ndani ya Msasani Mall pale Terrace Lounge. Watu kibao walihudhuria wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki, Bay Ara “The Kinghimself” alitimiza siku 40 toka ashuke hapa duniani. ... Read More →
Siku ya Jumamosi 27/2/2016 ilikuwa ni Maulid ya mtoto wa Salma Msangi, King himself baby Ara, alifikisha siku 40 toka kuzaliwa kwake, Maulid ilifanyika ndani ya Terrace Lounge iliyopo Msasani Mall jijini Dar es salaam. Watu wengi walifanikiwa kuhudhuria Maulid ya King himself baby Ara, wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki,... Read More →
Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee ametangaza rasmi kurudi tena kwenye muziki baada ya ukimya wa muda kidogo kwenye muziki. Lady Jaydee ameweka wazi ujio wake mpya kwenye muziki baada ya siku 30 kuanzia leo. Wiki kadhaa zilizopita Lady Jaydee aliwahi kuwaomba wapenzi wa muziki wake kuwa wavumilivu... Read More →
Kundi la muziki wa kizazi kipya la P.STAR linaloongozwa na goli kipa wa zamani wa timu ya Yanga ambaye pia ni kocha wa makipa katika timu hiyo Bw. Juma Pondamali (Mensah), akiwa na kundi hilo, wamerekodi wimbo maalum wa timu ya Yanga, unaoitwa “Yanga Mbele” ukiwa ni wimbo wa kushangilia... Read More →
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo Jumamosi 13/02/2016 katika ofisi za Jimbo la Ubungo kimewashukuru wananchi wa Ubungo na Kibamba kwa pamoja kwa kuchagua Ukawa kwa kura nyingi za udiwani pamoja na wabunge, na kupelekea CCM kuwa Chama cha Upinzani kwenye Majimbi haya kuanzia wenyeviti wa S/Mtaa/Udiwani mpaka Wabunge na... Read More →
Taarifa tofauti tofauti zilizosambaa kwenye twitter, msichana anaeonekana kwenye picha ana umri wa miaka 10 ameolewa Jumapili na kijana mwenye umri wa miaka 28 huko Kano. Huyu ni mtoto bado, hana maamuzi sahihi na hawezi kumtimizia mume kila kitu, kuhakikisha mwanaume anaridhika aonekane msafi, amefuliwa, nguo zimepasiwa na vitu vingine,... Read More →
Mkali wa ngoma ya “Always Be My Baby” Mariah Carey ameshare picha zake akiwa mapumzikoni akiwa na watoto wake akiwa amevalia bikini fresh za Loius Vuitton akiwa ufukweni huko ST. Barts. Mariah Carey (45) amekuwa mapumzikoni toka mwanzoni mwa mwaka huu Comments
Snoop Dogg amewashukia Oscars, aapa kutoangalia sherehe hizo baada waigizaji weusi kutotajwa kugombea kipengele chochote, alipost video kupitia ukurasa wake wa instagram huku akivuta bangi, aliulizwa kama atatazama Oscar na alijibu “F-K no! wajashirikisha waigizaji weusi, movies kibao za waigizaji weusi zipo lakini hawajawekwa kwenye tuzo, wanaendelea kutuibia F-k you... Read More →
Inaonekana kama hakuna utulivu katika himaya ya rapper Kanye West na mke wake mwanamitindo Kim Kardshian, wiki sita baada ya kupata mtoto wao wa pili anayeitwa Saint. Kweli tuna tumaini hii sio kitu zaidi ya uvumi, Kutokana na taaarifa mpya, kumuhusu couple inayotazamwa na watu wengi sana duniani wamekuwa wakibishana... Read More →