Mtanyooka Tu!! Diamond Awashukuru Wadau Waliosababisha Ashinde Tuzo Ya MTV MAMA 2015
Salam Sharaf Meneja wa Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) katika shughuli za kimataifa akizungumza na waandishi wa habari huku mwaamuziki huyo mwenye miwani (Wa pili kushoto) akifuatilia wakati wa mazungumzo na waandishi wa habari kwa ajili ya kuwashukuru wadau wote wa muziki na mashabiki wake kwa mchango wao kutokana na... Read More →