Kauli Ya Mama Wa Muigizaji Elizabeth Michael “Lulu” Kizungumkuti
Kufuatia kuandamwa na skendo za wanaume na kuchafuliwa kila siku, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ ametoa kauli nzito yenye kushtua kwamba anatamani mwanaye huyo afe tu ili watu wanyamaze kumsemasema. Imemuuma sana! Mama Lulu amefunguka hayo siku kadhaa baada... Read More →