Warembo Watatu Wa Miss South 2015 Wameondolewa Mashindanoni Kwa Kuwa Na Tatoo

Washiriki warembo watatu wa miss South Afrika Wamefukuzwa na kushindwa kufikia vigezo vya kushiriki mashindano hayo yanayoandaliwa kwa mwezi march mwakani kwa kuwa na michoro mwilini mwoa “tatoo” washiriki hao Kelly Davids, Altina Vries na Aseza Matanzima walishindwa kufikia vigezo vya kuwa washiriki wa mashindano hayo kwasababu ya michoro hiyo... Read More →