Mafanikio Ya muziki barani Africa yanaonekana wazi kabisa baada ya msanii wa Nchini Nigeria Davido ambaye ametumia mamilioni ya pesa kwa kuwanunulia zawadi Manager wake Kamal Ajiboye na Producer wake Shizzi kwa mchango mkubwa waliochangia kufikia mafanikio yake katika Muziki wake kwa mwaka huu Davido Amenunua Magari aina... Read More →
Donald Trump ali Tweet kama ikiwa ni ku share tu mawazo yake huku akisema, Kuwa na kiongozi Mweusi katika nchi kama Marekani itakuwa ndoto za abunuasi mara baada ya kung’atuka kwa Rais Wa Sasa na wa kwanza Mweusi Barak Obama Alisema “Historia Itamkumbuka Barak Obama Vizazi Kwa Vizazi , Kizazi... Read More →
Ule msemo Wa Age Is just a Number unatokea tena kwa mama yake Kim kardashia Kris Jenner miaka 59 ambaye kwasasa anamahusiano ya kimapenzi na Kijana Wa Umri mdogo maarufu kama Serengeti Boy Corey Gamble mwenye umri wa miaka33 kama umri wa mwanae Kim Kardashian Couple hiyo iliyokuwa pamoja na... Read More →
Vioja Duniani, Wiz Khalifa kaamua naye ku break the Internet sawa kabisa kama Kim kardashian, Kama mwenye stress za kuachwa au kuvunjika kwa ndoa yake ya na aliyekuwa mke na na mama mtoto wake Ambar Rose Rapper huyo ameshare picha yake akiwa mtupu bafuni anaoga huku akiwa aanajimiminia maji kwa... Read More →
Huyu si Rihanna wala Kim Kardashian bali ni star mwingine aliopo kwenye nyendo hizo hizo Mtangazaji wa luninga anatwa Bleona Qereti na kivazi chake hiki alichokivaa katika tuzo za American Music zilizofanyika jana jumapili Nov 23, Comments
2014 American Music Awards imefanyika Usiku wa jumamosi November 23rd Ma stars walitoka kwa mitindo tofauti iliyowapendeza lakini inayotupa na sisi tupo katika aina gani ya tolea kwasababu hapo ndipo wabunifu wanapokuwa wanawatumia mastars hao katika kutoa bunifu zao mpya Hawa Hawa Na Mitoka tofauti tofauti List... Read More →
Jumamosi Ya 22Nov Radio Magic Fm Ya Dar Es Salaam ilizinfua masafa yake mapya Huko mtwara kupitia 92,9 masafa yanayofanana na Ya Dar Es Salaam Masafa mapya yalizunduliwa huku yakiambatana na sherehe za miaka 14 ya Magic Fm Magi fm imekua ikiendele kupanuka kila wakati kadri siku zinavyosoge, Ilianzaia Dar... Read More →
Inaonekana kama Marc Anthony anapenda kuwa Mume “kuoa” yani …kwa sababu mpaka sasa ameshaoa mara tatu kwa kipindi cha miaka 14 mkewe wa kwanza alikuwa ni Mrembo Miss Universe Dayanara Torres baadaye ndio akamuoa mwanamziki Jennifer Lopez na baada ya ndoa hiyo ya pili kuvunjika sasa amemuoa Mwanamitindo kutoka nchini... Read More →
Mr &Mrs Ni miezi sasa Vyombo Vya habari havijazungumza kuhusu tetesi za usaliti wa jay Z kwa mkewe Beyonce na kutaka kuvunjika kwa Ndoa Hiyo Inayotajwa, yenye Nguvu zaidi Duniani Lakini bibie Beyonce sasa kaibuka na mapya katika wimbo wake utakaokuwa katika albam yake ijayo iliyovuja jana alioupa jina la... Read More →
Baada Ya tukio La kupotea kwa Mrembo wa Honduras Miss Honduras Aliyetakiwa kushiriki mashindanoya miss world yanayoendelea sasa huko london, Mpenzi wa Dada yake mkubwa miss honduras Sophia Trinidad ndio anayesadikiwa kuwauwa mrembo huyo na dada yake Plutarco Ruiz kwenye picha (upande wa kulia) amekubali kuwa anahusika na mauaji ya... Read More →
Radio Magic Fm Ya Dar Es Salaam Inatarajia Kufanya tamasha kubwa Mjini mtwara tarehe 22Nov ikiwa ni maadhimisho ya miaka 14 Ya magic Fm ambapo yataandamana na uzunduzi wa masafa mapya ya 92.9 mtwara Uzinduzi Huo Utasindikizwa na burudani toka kwa mwanadada Lady Jay Dee, Ommy Dimpoz Na Mzee Yusuf... Read More →