Utafiti:Mwanaume Anayefanya Mapenzi Na Wanawake Zaidi Ya 20 Katika Maisha Yake Ana Uwezekano Mdogo Wa kupata Saratani Ya Tezi Dume, Huku Wale Waliofanya Na Wanawake Bikira Wana Hatari Mara Mbili Zaidi

Utafiti mpya uliofanyika umebainisha kuwa mwanaume anayefanya mapenzi na wanawake zaidi ya 20 katika maisha yake ana uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume. Utafiti huo pia ulibainisha kuwa wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kufanya mapenzi na wanawake wengi mabikra wapo katika hatari ya kupata saratani... Read More →